JIFUNZE KUTENGENEZA MCHANGANYIKO WA JUISI YA TIKITI MAJI NA MAJI YA MADAFU AU NAZI CHANGA
KIPINDI HIKI CHA MAJIRA YA JOTO HASA
NYUMBANI TANZANIA NI MUHIMU SANA KUNYWA MAJI MARA KWA MARA ILI KUHAKIKISHA
UISHIWI MAJI MWILINI. KINYWAJI HIKI KINAWEZA KUA MMBADALA MAHSUSI WA MAJI NA
KUFANYA UFURAHIE SIKU YAKO NA NIRAHISI SANA KUANDAA
MAHITAJI
450 grams tikitiki maji kata
vipande vidogo weka kwenye friji ipowe
1 dafu au Nazi
changa kubwa
1 limao
kubwa
Ice cubes, au
vipande vya barafu
Majani ya Mint sio
lazima
FATILIA JINI YA KUANDAA NA MAELEZO
HAPO CHINI
Baada ya kumimina kwenye glass unaweza ongozea vipande vya barafu kufanya kinywaji chako kiendelee kua cha baridi na kupoza kiu na koo baada ya kupigwa na jua mwanana la majira ya joto
Chukua kipande cha
tikiti maji kasha katakata vipande vidogo weka kwenye friji vipowe
Kisha chukua
blender weka vitu vyote kwa mara moja maji na Nazi au dafu pamoja na vipande
vya tikiti maji, limao na vipande vya barafu. Kawaida dafu na tikiti maji vyote
vinasukari kwahiyo unaweka limao ili kuweka uwiano sawa wa sukari katika
kinywaji chako kwa kuwongeza chachu. Kama wewe ni mpenzi sana wa madafu zidisha
kipimo tofauti na maelekezo hapo
juu.
Blend
pamoja kama inavyoonekana kwenye picha ukpenda kuna na ladha zaidi weka na
majani ya mint inaweka harufu safi
sana.
Perfect drink for
your summer haichukui muda nmrefu tayari una juisi safi sana kwajili ya biashara
au family.
Baada ya kumimina kwenye glass unaweza ongozea vipande vya barafu kufanya kinywaji chako kiendelee kua cha baridi na kupoza kiu na koo baada ya kupigwa na jua mwanana la majira ya joto
No comments:
Post a Comment