JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA
JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE
MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA NA MAYAI
MAHITAJAI
8 kijiko kikubwa
cha chakula butter au siagi
120 gram karanga ya
kusagwa ilainike
180 gram sukari ya
kahawia
2 kijiko kikubwa
cha chakula asali
1 yai la kuku (
kama hutumii mayai weka 2 vijiko vya vegetable oil)
1 kijiko kidogo cha
chai vanilla essence
360 gram unga wa
ngano
1 kijiko kidogo cha
chai baking soda
120 gram karanga za
kumenywa zilizokaangwa
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA
MAELEZO HAPO CHINI
No comments:
Post a Comment