Saturday, 28 February 2015

JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA

JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA



JIFUNZE KUTENGENEZA BISIKUTI ZENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA YA KUSAGA NA MAYAI
MAHITAJAI
8 kijiko kikubwa cha chakula butter au siagi
120 gram karanga ya kusagwa ilainike
180 gram sukari ya kahawia
2 kijiko kikubwa cha chakula asali
1 yai la kuku ( kama hutumii mayai weka 2 vijiko vya vegetable oil)
1 kijiko kidogo cha chai vanilla essence
360 gram unga wa ngano
1 kijiko kidogo cha chai baking soda
120 gram karanga za kumenywa zilizokaangwa
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI










JIFUNZE KUTENGENEZA MCHANGANYIKO WA JUISI YA TIKITI MAJI NA MAJI YA MADAFU AU NAZI CHANGA

JIFUNZE KUTENGENEZA MCHANGANYIKO WA JUISI YA TIKITI MAJI NA MAJI YA MADAFU AU NAZI CHANGA



KIPINDI HIKI CHA MAJIRA YA JOTO HASA NYUMBANI TANZANIA NI MUHIMU SANA KUNYWA MAJI MARA KWA MARA ILI KUHAKIKISHA UISHIWI MAJI MWILINI. KINYWAJI HIKI KINAWEZA KUA MMBADALA MAHSUSI WA MAJI NA KUFANYA UFURAHIE SIKU YAKO NA NIRAHISI SANA KUANDAA
MAHITAJI
450 grams tikitiki maji kata vipande vidogo weka kwenye friji ipowe
1 dafu au Nazi changa kubwa
1 limao kubwa
Ice cubes, au vipande vya barafu
Majani ya Mint sio lazima
FATILIA JINI YA KUANDAA NA MAELEZO HAPO CHINI

Chukua kipande cha tikiti maji kasha katakata vipande vidogo weka kwenye friji vipowe
Kisha chukua blender weka vitu vyote kwa mara moja maji na Nazi au dafu pamoja na vipande vya tikiti maji, limao na vipande vya barafu. Kawaida dafu na tikiti maji vyote vinasukari kwahiyo unaweka limao ili kuweka uwiano sawa wa sukari katika kinywaji chako kwa kuwongeza chachu. Kama wewe ni mpenzi sana wa madafu zidisha kipimo tofauti na maelekezo hapo juu.

Blend pamoja kama inavyoonekana kwenye picha ukpenda kuna na ladha zaidi weka na majani ya mint inaweka harufu safi sana.

Perfect drink for your summer haichukui muda nmrefu tayari una juisi safi sana kwajili ya biashara au family.


Baada ya kumimina kwenye glass unaweza ongozea vipande vya barafu kufanya kinywaji chako kiendelee kua cha baridi na kupoza kiu na koo baada ya kupigwa na jua mwanana la majira ya joto